Mimi sipendi kukutana na story ya ilagosa wa ilagosa kwa mtandao juu huwa najipata tu nalia 😭😭😭ni huzuni alikuwa amemaliza umaskini kwa boma saahizi mzee anasema umaskini umerudi mungu mtetee huyu mzee mtie nguvu may you locate him a destiny helper in Jesus name and may ilagosa soul continue resting in peace 😭😭😭
This is good Ramdee production. People have been spreading lots of bad messages on social media about this family not knowing that these people are mourning. That is not good. This old man needs alot of psychological support
Who is thinking 🤔 what am thinking here??? anyway allow me 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 mourn my dear brother Sam wa ilagosa is like a month now we can't see you anywhere you left us too early. And everything you left concerning your death as an evidence imekaliwa mwenyewe ulisema kabla ya kifo chako na pia uliambia mulamwa wako mama Noah lakini tunaye mungu 🙏🙏. Alali....
Ukweli ni kwamba tunatulizwa tu, kwani last words za mtoto wetu Sam wa ilagosa ziko Kwa simu yake where exactly are those phones?????? 😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Anyway vita ni vyake bwana 🙏🙏 ..
Chakula??? I think this family needs prayer kuna some siblings why cant they look and feed there Dad, enyewe kuna msemo mzazi hawezi kosa kutunza wanawe hata wawe kumi lakini watoto wanashindwa kulinda mzazi mmoja.
Watu muachane n baba marahemu kabisa apunzishe akili yake n umuache marahemu ilagosa apumzike kwaamani n uyu brother w marahemu alikua anataka nani akuje kwa family yao kuwapanga kama hakueweza kujipanga wenyewe story y ngombe mgejipanga wenyewe sio mtegeme outsider 2 pole baba marahemu swali kwa bb marahemu what about ulekijana hakukuja kwa mathishi y brother yke mnamusaidia ajee coz sio yy wakwanza kukosa n hamuezi mkata n wenyu
I think these guys did a good job by visiting him, kumjulia Hali....huoni upweke ni mingi jameni. By talking he's able to vent put what bothers him which is healthy. Pongezi wote mlioenda kumtembelea baba ya Ilagosa.
Mimi sipendi kukutana na story ya ilagosa wa ilagosa kwa mtandao juu huwa najipata tu nalia 😭😭😭ni huzuni alikuwa amemaliza umaskini kwa boma saahizi mzee anasema umaskini umerudi mungu mtetee huyu mzee mtie nguvu may you locate him a destiny helper in Jesus name and may ilagosa soul continue resting in peace 😭😭😭
I feel the same but nivizuri wakienda kuvisit the old man. ❤That's a good sign of love.
@@getrudeliyayi4511 exactly
Sually ilagosa wa ilagosa atafufuka lini jameni brother wa ilagosa tafuta kazi
😢😢😢😢😢 we are the same aky nalia
This is a good gesture......blessings to the team that has visited ilagosa's dad.
Thank you a lot. When we hear these encouraging words, we feel motivated. May you be blessed abundantly.
I salute your work ,you know how to interview,very polite and humble and you don't use abusive language.keep up.
Thank you 🙏 be blessed
pole daddy wa ilagosa mungu akitie nguvu
Mungu wa mbinguni amtetee huyo baba ilagosa amfariji amtie nguvu ni hali ngumu sana inahitaji mkono wa mungu🙏🙏🙏
Ramdee naipenda show yako sana unajua kuwa interview visitors wako vilivyo congratulations Baba ILAGOSA Mungu akupe nguvu na maisha marefu
Nashukuru sana kwa kuwa shabiki wetu🙏 be blessed
Ak wooiyee..acha mungu akutie nguvu babake ilagosa ak..it's still hard to believe let our might God comfort you
Sad story 😢 lala salama ilagosa
Pole baba ulipotesa mtoto wako
Pole baba llagosa bt unaitaji pastors washikane na family yako muweke maombi mbele Kila kitu kitakuwa sawa
This is a sad story woiyee..
It's so sad ,but God will see him through this difficult situation 🙏
Continue rest well ilagosa tungeweza kukuamsha
So sad😥😥😥
God bless u Ramdee gdjob🤲
Aky mtu akisha kufa hua hana aky.......😢😢😢😢😢😢kama kuna ushaidi bt bado hawajali
I knew it was propaganda hao watu wanaeneza uvumbi ndo waliua Ilagosa 😭
😭😭😭😭😭.....so sad
Ngombe ni juu ya familia tafuta kazi
What a masterpiece! You do your interviews professionally sio kama zingine nimeona mahali sitataja. 😂😂😂
Mungu alaze roho yake mahali palipo na wema
Good work
Good interviews,,I love this 😍
Thank you for your motivation. Kindly subscribe to get more informative and impactful stories.
This is good Ramdee production. People have been spreading lots of bad messages on social media about this family not knowing that these people are mourning. That is not good. This old man needs alot of psychological support
This is sad sory yawah ,😭😭😭
Who is thinking 🤔 what am thinking here??? anyway allow me 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 mourn my dear brother Sam wa ilagosa is like a month now we can't see you anywhere you left us too early. And everything you left concerning your death as an evidence imekaliwa mwenyewe ulisema kabla ya kifo chako na pia uliambia mulamwa wako mama Noah lakini tunaye mungu 🙏🙏. Alali....
Ukweli ni kwamba tunatulizwa tu, kwani last words za mtoto wetu Sam wa ilagosa ziko Kwa simu yake where exactly are those phones?????? 😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Anyway vita ni vyake bwana 🙏🙏 ..
Plz I need no ya huyu mzee plz mm nimemwaga chozi mzee akisema umasikini umerudi kwa familia aki niuchungu sana mm nimupatie ki2 kdg plz
Kindly reach out to us via 0113831059
😢😢😢😢
Laani hao watu Baba the killers should never know peace
Watu wanausika aje na mambo ya familia na mila ya mtu
Yani munauwa mtu muchukue vitu zake brothers sio watu wa kuamini mbaka simu hiyo simu mungepeya baba Moja na kijana yake
Huyu ndugu ya Ilagosa alikua anataka nani awanunulie ng’ombe?
Ilagosa kaburi ajengewe ,neema ya Mungu inguze mtu aijenge
Very true🙏
aki achaneni na huyu mzee mtalaaniwa huyu mzee bado anaomboleza bado ako na huzuni wacheni maneno ya uzushi
Mwnye alifanya sasa ameshindwa chakufanya ona vile anasumbuwa sasa
Yaani huyu mzee ana busara. Anamuwazia mwanae tu hana haja ya Mali. Lakini asaidiwe apate Mali ya mwanae.
Wenye wanasambaza hio ujinga wakome kabisa, let mzee heal in peace.
This family should stop issuing interviews..bloggers wamewazoea sasa..They need to mourn &heal.
Kwani ni furaha yao llagosa afe wagawane vitu zake? Washindwe kabisa, wambie watafute zao, nonsense
Chakula??? I think this family needs prayer kuna some siblings why cant they look and feed there Dad, enyewe kuna msemo mzazi hawezi kosa kutunza wanawe hata wawe kumi lakini watoto wanashindwa kulinda mzazi mmoja.
I wonder too . 🤔. Yani yule hornbill hasaidii nyumbani ?
Ile kiboko itapiga watu kusambaza story za uongo,hakuna kuti kama mbaya kama kuchezea,yatima ama mjane
Watu muachane n baba marahemu kabisa apunzishe akili yake n umuache marahemu ilagosa apumzike kwaamani n uyu brother w marahemu alikua anataka nani akuje kwa family yao kuwapanga kama hakueweza kujipanga wenyewe story y ngombe mgejipanga wenyewe sio mtegeme outsider 2 pole baba marahemu swali kwa bb marahemu what about ulekijana hakukuja kwa mathishi y brother yke mnamusaidia ajee coz sio yy wakwanza kukosa n hamuezi mkata n wenyu
I think these guys did a good job by visiting him, kumjulia Hali....huoni upweke ni mingi jameni.
By talking he's able to vent put what bothers him which is healthy.
Pongezi wote mlioenda kumtembelea baba ya Ilagosa.
@@Amochi1986 Thank you for putting it in a much clear perspective.
Wenye tumewahi poteza wapendwa, we know what it means kutembelewa na watu baada ya mazishi.....its very therapeutic
Why can't this guy let the Mzee heal
Grieving is a process and when baba wa ilagosa is visited like this I think its very therapeutic. He feels watu wanampenda
@@getrudeliyayi4511 I agree